MUHIMU - TAFADHALI SOMA HIZI KANUNI NA MASHARTI KWA UANGALIFU KABLA YA KUKUBALI MAKUBALIANO HAYA, ALAFU TOA NAKALA YA HIZI KANUNI NA MASHARTI PAMOJA NA TARAKIMU ZA SHUGHULI NA UZIHIFADHI PAMOJA NA MAELEZO YOTE YA KUHAKIKISHA YA BARUA PEPE, SHERIA ZA MCHEZO NA MBINU ZA MALIPO MUHIMU KWA KUTUMIA KWAKO KWA MTANDAO HUU. TUTAKUARIFU MKATABA WETU NA KWA HIVYO UNAHITAJIKA KUTOA NAKALA KWA KUMBUKUMBU ZAKO.
HIZI KANUNI NA MASHARTI IKO CHINI YA BADADILIKO (KAMA YA LIVYO WEKWA HAPA CHINI) NA YATAPATIKANA KWA KUPITIA MTANDAO [%jina_la_mtandao%] huu pekee.
  1. Utumizi wa Kanuni na Masharti.
    Kwa kucheza michezo yetu (iliyoelezewa hapa chini), au kubonyeza kwenye kifungo cha \"Ndio/Kubali\" ukishaweka programu yetu na/au kwa kukubali kwamba ushasoma hizi kanuni na masharti wakati unajiandikisha ili ujiunge na [%jina_la_kasino%], unakubali kuzingatia sheria za Makubaliano haya na unakubali kwamba kushindwa na kuzingatia sheria za Makubaliano haya kunaweza leta kutolewa, akaunti kufungwa, kufidia kwa pesa za kucheza na/au hatua ya kisheria dhidi yako, iliyosawa na iliyoelezewa kwa Makubaliano haya. Kama maswali yoyote kuhusu Makubaliano haya, tunakuhimiza utafute mashauri yako ya kibinafsi kabla ya kubonyeza kifungo cha \"Ndio/Kubali\" wakati umeweka hiyo programu na/au kabla ya kuendelea na hatua ya kujiandikisha. Unakubaliana kwamba ukikubali Makubaliano haya, tutaanza kukupatia mafanikio ya huduma zetu haraka iwezekanavyo. Kwa sababu hii, ukikubali Makubaliano haya wakati wa kujiandikisha kwa huduma zetu, hautaweza baadaye kubadilisha kujiandikisha kwako, ijapokuwa unaweza kuachisha Makubaliano haya na kufunga akaunti yako kulingana na sehumu ya 22 hapa chini.
  2. Uhalali wa kushiriki katika michezo.
    Unaweza kushiriki pekee kwa michezo (iliyofafanuliwa hapa chini) kama umekomaa kulingana na sheria za nchi yako zinazotumika na ni halali kwa wewe kufanya hivyo kulingana na sheria zinazotumika katika mamlaka kutoka ambapo umeunganisha. Unaelewa na kukubali kwamba Kampuni haiwezi kukupatia wewe ushauri wowote wa halali au uhakika na hiyo ni jukumu lako mwenyewe kuhakikisha wakati wowote unakubaliana na sheria ambazo zinakuongoza wewe na kwamba uko na haki halali zote za kucheza hiyo michezo. Kushiriki kokote katika michezo kwa chaguo lako mwenyewe, uamuzi na hatari. Yeyote kwa kucheza hiyo michezo unakubaliana kwamba hauoni hii michezo au [%jina_la_kasino%] kuwa ni hatia, kuchukiza, isiyo ya haki, au kuchukiza kwa njia yoyote ile.
  3. Cheza Michezo ya Pesa.
    Michezu hii ni ya furaha pekee, na kushiriki kwako katika michezo ni kufurahia kwako mwenyewe binsfsi na simatumizi ya kitaalamu. Kwa kujiandikisha kwa [%jina_la_kasino%], utaweza kupata (kupitia programu yetu - iliyofafanuliwa hapa chini) michezo yote \"cheza pesa\" na mashindano (\"michezo ya kucheza kwa pesa\" au \"michezo ya kucheza bila pesa\" ikifuatana) kwa pamoja [%jina_la_kasino%] micheza (\"michezo\"). Hakuna kununua ambako ni lazima au kunako takikana ili ucheze michezo ya pesa bila kubahatisha pesa. Kampuni inabaki na haki ya kufukuza, kubadilisha, kuondoa na/au kuongeza mchezo wowote kwa mwongozo wake kwa mara hiyo hiyo na bila ilani na Kampuni haitakuwa na lawama kwa hatua kama hizo.
  4. Kujiandikisha.
    Kucheza katika [%jina_la_kasino%], kwanza utatakikana kushusha na kuiweka programu yetu na uandikishe akaunti na sisi (\"Akaunti\") kwa kuchagua jina la akaunti la pekee na neno la siri na kuweka maelezo mengine yoyote ambayo tunauliza katika kujiandikisha kwetu kama vile (lakini si kidogo ya haya) jina lako la kwanza na jina lako la mwisho, anuani, barua pepe, jinsia, siku ya kuzaliwa na namba ya simu. Unakubali kupatiana maelezo ya kweli pekee, kamilifu na ya sasa na zaida unakubali kuongezea maelezo haya ilikuyafanya kuwa ya kweli, kamili na ya sasa. Kama ungetaka kuhakikisha au kubadilisha maelezo yoyote ambayo umetuma wakati wa kujiandikisha ambayo si sahihi unaweza kuwasiliana nasi ili tukubadilishie kupitia barua pepe ya usaidizi.
  5. Kitabulisho cha Kweli na Akaunti Moja.
    Jina kwa akaunti yako lazima lifanane na jina lako la halali na la kweli na kitambulisho na jina lililoko ka akaunti ya [%jina_la_kasino%]. Umefungizwa kuwa na akaunti zaidi ya moja katika [%jina_la_kasino%] na mitandao wowote kwa mchezo/meza wa pamoja. Kama uko na akaunti zaidi ya moja(1) au Akaunti katika majina tofauti, lazima uwasiliane nasi kwa haraka ili akaunti zako zisimamiwe ndio uwe na akaunti moja (1) pekee. Kama umepoteza jina la akaunti yako au neno la siri, tafadhali wasiliana nasi kwa ubadilishaji.
  6. Sheria za mchezo
    Mchezaji lazima acheze kila mchezo akifuata sheria za VIPI KUCHEZA zilizoko kwa sehemu, kufuata mwongozo katika matukio maalum yaliyo orodheshwa kwa ukurasa wa maelezo maalum.
  7. Programu ya kupambana na udanganyifu.
    Tumejitolea kugundua na kuzuia programu ambazo zimeundwa kuwezesha akili bandia (\"Al Software\") kucheza kwa mtandao wetu kama vile, lakini si yote, profila ya mpinzani, muungano wa mchezaji, programu ya uongo au kitu yoyote ambayo kitakufanya uwe na fursa mbaya kuliko wachezaji wengine. Unakubali kwa Kampuni itachukuwa hatua ili kugundua na kuzuia utumizi wa programu kama hizo na Al Software kwa kutumia njia zifuatazo, lakini si zote, mpapuro wa kioo au kusoma orodha ya sasa inayoendelea kwa programu ya kompyuta ya mchezaji na unakubali kutotumia Al Software na/au aina yoyote ya programu kama hiyo.
  8. Hakuna wafanyikazi wa Kampuni au Kampuni shirika.
    Kama wewe ni ofisaa, mfanyikazi, mshauri au ajenti wa Kampuni au moja kati ya kampuni zake, au wauzaji au wachuzi, haukubaliwi kujiandikisha na [%jina_la_kasino%] au kushiriki moja kwa moja au pasipo moja kwa moja kwa mchezo wowote kati ya hiyo (kila \"Mtu Asiyeruhusiwa\"). Vile vile, jamaa za Watu Wasioruhusiwa hawakubaliwi kujiandikisha na [%jina_la_kasino%] au kushiriki moja kwa moja au pasipo moja kwa moja kwa mchezo wowote kati ya hiyo. Kwa madhumuni haya, kanuni \"jamaa\" watajumuisha (lakini si wote) yeyote kati ya hawa: mke wako, mume, mzazi, mtoto au ndugu.
  9. Hakimiliki na alama Biashara.
    Kanuni za [%jina_la_kasino%]™ ni alama ya biashara, alama ya huduma na/au majina ya kibiashara ya Kampuni au moja kati ya kundi la Kampuni zake. Zaidi, vifaa vyote vyengine katika [%jina_la_kasino%], pamoja na, lakini si yote, Programu, picha, michoro, mifano kwa michoro, video, muziki, sauti, Nakala (na haki yoyote ya kumiliki mali na ya aina yoyote kama hiyo) niya Kampuni au moja kati ya kundi la kampuni zake na/au watoaji leseni wetu na inalindwa na haki miliki na/au haki ya kumiliki mali. Haupati haki yoyote kwa vifaa vya haki miliki kama hivi au alama za biashara au huduma na haustahili kuzitumia bila ruhusa kutoka kwa Kampuni iliyoandikwa.
  10. Akaunti Inaktiv
    Kama hauwezi kupata Akaunti ya kwa \"kuingia ndani\" katika Akaunti yako kwa kutumia jina la Akaunti yako na neno lako la siri kwa muda wowote wa miazi sita ya kalenda (\"imesimama\"), Akaunti yako itachukuliwa kama imesimama na itafungwa; hata hivyo iwe, matakwa kama hayo ya kuingia na kiingilio sio na haihusishi matakwa yoyote ya wewe kucheza mchezo wowote au kushiriki katika shughuli yoyote katika [%jina_la_kasino%] mbali na kuingia ndani.
  11. Matusi au lugha ya kuchukiza.
    Lugha ya matusi au ya kuchukiza haitakubaliwa kwa chati za ubao, michezo, au mengineyo na [%jina_la_kasino%] au na wafanyikazi wa kasino. Ukiukaji wowote wa sheria hii kutafuatia kusimamisha kwa haki zako za kucheza au hatua nyengine kama hizo ambazo zinaweza kuhitajika na Kampuni ili kuhakikisha utekelezaji pamoja na uwezekano wa kusimamisha Akaunti yako. Kuongezea, Hauna haki ya kuweka maoni ya uongo na/au maovu na/au yakuharibu ya kuhusu shughuli za Kampuni katika vyombo vya habari au baraza.
  12. Ufichuzi wa jina la akaunti na neno la siri.
    Unakubali kuweka jina la Akaunti yako na neno la siri kuwa siri na kutokubalia mtu yeyote kutumia. Kampuni haitahitajika kuhifadhi majina ya Akaunti au maneno ya siri ingawaje ukipoteza jina la akaunti yako au neno la siri, tafadhali wasiliana nasi kwa kubadilishiwa. Ukiweka vibaya, ukisahau, au kupoteza jina la Akaunti yako au neno la siri kwa sababu yoyote mbali na makosa ya Kampuni, Kampuni haitawajibika.
  13. Shughuli za Ulaghai na Tabia Marufuku.
    UMEPIGWA MARUFUKU KUPATIANA, KUHIMIZA AU KUONGOZA MCHEZAJI MWENGINE YEYOTE KATIKA [%jina_la_kasino%] KUCHEZA (AIDHA KWA [%jina_la_kasino%], KWA MTANDAO MWENGINE AU USO KWA USO) MICHEZO YOYOTE YA PESA HALISI AU FEDHA ZENGINE HALISI (\"Tabia iliyopigwa Marufuku\"). Kampuni haikubaliani kabisa na lolote kuhusu uchezaji mbaya, tabia iliyopigwa marufuku au shughuli ya udanganyifu. Kama, katika kujitolea kwa kibinafsi kwa Kampuni, utapatikana umedanganya au kujaribu kudanganya Kampuni au mtumizi mwengine wa mchezo wowote au umejihushisha katika tabia iliyopigwa marufuku kwa njia yoyote ile pamoja na, lakini si yote, kubadilisha mchezo, Kampuni inahaki ya kukusimamisha na/au kufunga akaunti yako na kuzungumza kuhusu ujumbe huu (pamoja na kitambulisho chako) na mitanda mingine ya michezo, mitandao ya kawaida, benki, kampuni za kadi za mikopo, na anjenti wengine wanaofaa.

    Chip Dumping:
    EUROPK prohibits absolutely the practice known as Chip Dumping.
    Below the definition.
    Chip Dumping:
    intentional loss of chips by a player to another player for the purposes of fraud. This subterfuge is not permitted and is considered fraudulent.

    EUROPK reserves the right to immediately and indefinitely block the account or accounts of the aforementioned players and illegal misconduct.

    Frozen credits to the customers caught doing Chip Dumping (or any other action prohibited within the Poker Room, according to the terms and conditions), will be put back into the game platform through freeroll tournaments available to all customers of the network.
  14. Tathmini ya usalama.
    Kwa kuhakikisha kiwango cha juu cha usalama na uadhilifu kwa mfumo, Kampuni inabaki na haki ya kuendeleza kuangalia usalama kwa wakati wowote ili kuchunguza kitabulisho chako, mri, takwimu za kujiandikisha ulizopeana na kuhakikisha unavyocheza michezo na shughuli zako za kifedha kwa kuzingatia kukubaliana na Makubaliano haya na sheria zinazotumika. Kwa hivi unaturuhusu na ajenti wetu kufanya maulizo yoyote kukuhusu na kwa sisi kutumia na kufafanua kwa mtu yeyote tunachukulia kuwa lazima kuangalia maelezo uliyotupatia au unastahili kutupatia kulingana na Makubaliano haya, pamoja na lakini si yote, kuagiza ripoti ya mikopo na/au mengineyo kuhakikisha maelezo dhidi ya hifadhidata za watu wengine. Kuongezea, kuwezesha huu usalama, unakubali kupeana maelezo kama hayo au nakala kama Kampuni itazihitaji, kwa nia yake.
  15. Adhabu na Kufungwa kwa Akaunti.
    15.1 KAMPUNI INAHIFADHI HAKI, KATIKA BUSARA NA KUFUATIA AKAUNTI YAKO, AKAUNTI ZOZOTE UNAZOWEZA KUWA NAZO NA MITANDAO MINGINE NA/AU KASINO INAYOMILIKIWA AU KUENDESHWA NA AU KWA MINAJILI YA KAMPUNI NA MTANDAO WOWOTE UNAOTUMIA MCHEZO/MEZA WA PAMOJA, KUFUTILIA MBALI AKAUNTI YAKO KAMA:
    1. Uko karibu kuvunja masharti yoyote ya mkataba; au
    2. Kampuni lazima ijue kama ushawahi cheza kwa mtandao wowote ule wa michezo ya mtandao na inashuku udanganyifu, muungano au kinyume cha sheria au shughuli isiyofaa.
    15.2 Kama utathmini wa usalama umefanywa angalia (sehemu ya 7 hapo juu) uko na aidha.
  16. Kuondolewa
    Unahaki ya kufunga Akaunti yako na kuachana na Makubaliano haya wakati wowote kwa kutuma barua pepe au kutupigia simu kutumia maelezo. Wasiliana nasi na tutakujibu baada ya muda mchache ijapokuwa, utakuwa na jukumu kwa shughuli kwa akaunti yako mpaka kufunga kufanywe. Kampuni inahaki ya kuachisha Makubaliano haya mara moja kwa ilani (au jaribio la ilani) kutoka kwako katika anuani yako ya barua pepe uliyopatia Kampuni.
  17. Fidia
    Unakubali kushikilia Kampuni, wafanyakazi wake, maafisa, wakurugenzi, leseni,watoaji leseni, washirika, na matawi bila hatari na zaidi unakubali kuwafidia kamili kutokana na lolote na malipo yote,mahitaji yote, garama yote na uharibifu wa aina yoyote ambao utatokea kwa sababu ya kuvunja Makubaliano haya.
  18. HAKUNA DHAMANA NA DHIMA PUNGUFU.
    1. KUPATA KWAKO KWA [%jina_la_kasino%], SHUSHA PROGRAMU NA KUSHIRIKI KATIKA MICHEZO NI CHAGUO LAKO BINAFSI, UAMUZI NA HATARI. KAMPUNI HAITAWAJIBIKA KWA UHARIBIKAJI WA KOMPYUTA AU KUJARIBU KWAKO KUSHIRIKI KATIKA MCHEZO KWA JIA, MBINU AU PANDE AMBAZO HAJIKUSIDIWA NA KAMPUNI.
    2. [%jina_la_kasino%], MICHEZO NA PROGRAMU INALETWA KWAKO \"KAMA NI,\" BILA DHAMANA YA AINA YOYOTE, AIDHA YA MOJA KWA MOJA AU KUHISI (AIDHA KWA SHERIA, KATIBA AU MENGINEYO), KUJUMUISHA LAKINI SI YOTE, DHAMANA YA KUHISI NA MASHERTI YA UUZAJI, KUTOSHELEZA THAMANI, KUTOSHEA KWA LENGO FULANI, AU KUTOFUATA SHERIA ZITUMIKAZO NA KANUNI. KAMPUNI HAITOI DHAMANA KWA KAZI ZILIZOKO NDANI MWA [%jina_la_kasino%], MICHEZO AU PROGRAMU ITATOSHELEZA MAHITAJI YAKO, AU SHUGHULI ZAO ZITAKATIZA AU BILA MAKOSA.
    3. DHIMA YA JUU YA KAMPUNI KWAKO AU MTU MWENGINE ATOKEZAYE NJE YA MAKUBALIANO HAYA AU UTUMIZI WAKO WA [%jina_la_kasino%], MICHEZO AU PROGRAMU, AIDHA KWA KUVUNJA MKATABA, BADILI (PAMOJA NA KWA UZEMBE) AU MENGINEYO, ITALINGANA NA KIASI, KAMA KIKO, ULICHOWEKA ILI UPATE [%jina_la_kasino%] KATIKA MIEZI 12 YA MBELENI.
    4. HAKUNA WAKATI, KAMPUNI ITAWAJIBIKA KWA KUHARIBIKA KOKOTE KWA PROGRAMU, BUGS AU VIRUSI, NA KULETA KUPOTEA KWA TAKWIMU AU AINA NYENGINE YOYOTE YA UHARIBIFU KWA VIFAA VYA KOMPYUTA YAKO AU PROGRAMU. ZAIDI, KAMPUNI HAIHITAJIKI KUPEANA MTANDAO THABITI AU WA KUOKOA NA/AU MFUMO.
  19. Utatuzi wa migogoro
    Unakubali na kuamini kamili kwa programu ya kutoa namba za nasibu (RNG) itaamua mchanganyisho na kushughulikiwa kwa kadi na matukio yoyote ya nasibu yanayo takikana katika michezo. Kama kuna hitilafu kati ya matokeo yanayo onyeshwa kwa programu (kama ilivyoweka na kuendeshwa kwa vifaa vyako) na sava yetu, matokeo yaliyoko kwa sava yetu yataongoza matokeo ya mchezo. Zaidi, unaelewa na kukubali kwamba (bila ya kuathiri haki zako nyingine na tiba) kumbukumbu za Kampuni zitakuwa uwezo wa mwisho kuamua kanuni yako ya kushiriki kwa michezo, shughuli zitakazo tokea baada ya hapo na hali ambayo zilitokea.
  20. Ilani.
    Kama unamgogoro wowote kutokana na matokeo katika michezo au shughuli yoyote katika [%jina_la_kasino%], lazima utume malalamishi yako kwa Kampuni kwa maandishi kati ya siku kumi na nne (14) za tukio kwa barua pepe kupitia barua pepe ya usaidizi.
  21. Makubaliano , mabadilisho na masahihisho yote.
    Unajua na kukubaliana kamili kuwa utaongozwa kwa kanuni na masharti zlizohapa ndani na kama zilivyobadilishwa na/au kurekebishwa na Kampuni kwa mara kwa mara. Kampuni inaweza kurekebisha Makubaliano haya wakati wowote kwa kundika Makubaliano yaliyo badilishwa kwa ukurasa unaofaa wa [%jina_la_kasino%].
    Mabadiliko yoyote kama hayo yataanza kutumuka mara moja baada ya kujulisha kwa maandiko kwa [%jina_la_kasino%]. Kama mabadiliko yoyote hukubaliani nayo, hatua yako pekee ni kuachana na Makubaliano haya. Kuendelea kutumia programu hii baada ya kujulishwa kutamaanisha kukubaliana na mabadiliko hayo.
    Ni jukumu lako la kuangalia Makubaliano haya na mabadiliko kila wakati unapocheza. Hizi kanuni na masharti na nyaraka zilizoko hapa ndani zinaonyesha makubaliano kamili na ya mwisho kati ya wewe na Kampuni na inazidi makubaliano yoyote ya mwanzoni kati ya wewe na Kampuni.

    Mchezaji yeyote anaye jiunga moja kwa moja au kupitia proxy kutoka U.S. (United States), atapigwa marufuku na akaunti ya kusimamishwa.
    Kiasi chochote cha pesa kilichowekwa kwa akaunti kama hii kitachukuliwa.

    Malipo:
    Kama unataka kulipa na kichakato cha malipo kama vile broka wa pesa au Bonyeza na Nunua, lazima utupatie kadi yako ya kitambulisho na kadi yako ya mkopo kupitia barua pepe kwa [%barua_pepe_hati%].
EUROPK
Ilirekebishwa, Mechi 27, 2010.