Shule ya Poka
Hold’em - Kuangalia kwa haraka
Texas Hold'em ni aina ya poka iliyomaarufu sana ichezwayo ulimwenguni kote. Kama ndio umeanza sasa hivi, huu ndio mchezo wakujifunza.
Kucheza katika Texas Hold'em unaenda kupitia mtiririko wa raundi nne za kubahatisha: kabla-flopi, kwa flopi, raundi na mto. Kila ya raundi hizi zinaelezewa hapa chini kwa sehemu mbali mbali.
Kuanzisha mkono, deki inachanganywa, vipofu wanabandikwa na kila mchezaji anashughulikiwa kadi mbili uso chini, hizi ni kadi za shimo. Kuna raundi ya kubahatisha ambayo inaruhusu bahatisho moja pekee na kuinua tatu. (katika michezo ya upeo)
Wakati hii hatua ya raundi ya kwanza ya kubahatisha imekamilika, dila ataweka kadi tatu usojuu kwa meza. Hizi kadi zinaitwa flopi. Kadi zote zinazoshughulikiwa uso juu ni kadi za jamii. Yaani "niza" wachezaji wote na zinaweza kutumiwa na mchezaji yeyote kwa mchanganyiko wowote wa kadi zake za shimo kutengeza mkono mzuri unaowezekana wa poka. Flopi infuatwa na raundi nyengine ya kubahatisha. Katika michezo ya upeo raundi hii ya pili ya kubahatisha ni raundi ya mwisho ya upea wa chini. Baada ya raundi hii bahatisho zote na kuinuka zitakuwa kwa upeo wa juu. Baada ya hivyo kwa hatua ya flopi imekamilika dila ataweka kadi ya nne, uso-juu, kwa meza. Hii ni kadi ya raundi na ni kadi nyengine ya jamii ambayo mchezaji yeyote anaweza kuunganisha kwa njia yoyote baada ya kadi ya raundi imeshughulikiwa kuna raundi nyengine ya tatu ya kubahatisha. Hii raundi ya tatu ya kubahatisha iko kwa upeo wa juu katika michezo ya upeo. Wakati hatua imekamilika katika raundi imekamilika kadi ya mwisho, kadi ya mto, inashughulikiwa uso-juu kwa ubao.
Baada ya kushughulikia kadi ya mto ya nne, ya mwisho, raundi ya kubahatisha inaanza. Kama raundi zengine hii raundi inaruhusu bahatisho moja na kuinuka tatu. Wakati hatua imemalizika, chungu kinazawadiwa kwa mkono bora.
Chungu kinazawadiwa, kifungo cha dila kinasongeshwa nafasi moja upande wa mwelekeo wa saa, vipofu wanabandikwa na mkono mwengine unaanza.
Hatua
Kubahatisha. Wakati itasemekana kwamba hatua iko kwa mchezaji fulani itamaanisha kwamba ni zamu yake kuchukuwa hatua. Anaweza kubahatisha, kuangalia, kuimua au kukunja.
Kionyesho cha Hatua
mshale wa mwanga ambao unamwonyesha mchezaji ambaye anafutia kuchukuwa hatua.
Bahatisha, Angalia, Inua, Kunja
Wakati hatua ya raundi fulani inaanza kila mchezaji katika raundi yuko na chaguo la kukunja ambapo nikutupa mkono wake na kukaa kwa mkono wa sasa, angalia, yaani kupitisha hatua bila kuweka pesa kwa chungu, au kubahatisha. Mtu wa kwanza kuweka pesa kwa chungu kwa raundi yoyote ya kubahatisha ni Bora. Baada ya bahatisho ya kwanza imefanywa wachezaji wanaofuatia wako na chaguo tatu: kuita (kuweka kiasi cha pesa sawa na kile cha bahatisho ndani ya chungu), inuka (kuweka kiasi cha pesa ambacho ni sawa na mara mbili ya bahatisho ndani ya chungu) au kunja (mchezaji akikunja anaacha kadi zake na anajiondoa katika kushindania chungu). Baada ya kuinuka kumefanywa wachezaji wanaofuata pia wanachaguo tatu: kuita huko kuinuka, kuinua tena au kukunja.
Vipofu
Hizi ni bahatisho za kulazimishwa ambazo zinaanza hatua. Katika Hold'em kuna vipofo viwili. Kipofu mdogo anawekwa na mchezaji kushoto mwa kifungo cha dila na ni nusu ya kiasi cha Kipofu Mkubwa.
Flopi
Baada ya raundi ya kwanza ya kubahatisha dila anaweka kadi tatu kwa ubao uso-juu. Hizi kadi tatu ni kadi za jamii na zinaitwa Flopi.
Kadi za jamii
Ni kadi ambazo zina shughulikiwa uso-juu kwa ubao. Zinaweza kutumika kwa kiasi chochote katika mkono wowote wa mchezaji kutengeza mkono wake bora wa poker. Bonyeza hapa uone orodha kamili na mpangilio wa mikono ya Hold'em inayotanbulika.
Kifungo cha Dila
Katika Hold'em kuna kifungo ambacho huzunguka kwa meza kiupanda wa mwelekeo wa saa. Kadi zinashughulikiwa kiupande wa mwelekeo wa sasa kuanzia kwa mchezaji wakaribu na kushoto mwa kifungo cha dila. Baada ya mkono umekamilika na chungu kimezawadiwa, dila anasongesha kifungo cha dila kwa mchezaji wa karibu na kushoto kwa mchezaji aliyeshinda chungu punde. Hii inafanyika, kwa sababu kuna faida ya kuchukua hatua mwisho na kila mchezaji anapata nafasi yake ya haki ya mapema, kuchelewa na katikati ya nafasi.
Vyungu
Wakati bahatisho na kuinuka kote kunakusanywa. Hiki ni kirundo cha chipsi katikati ya meza. Wacheza wako kwa mchezo iliwashinde chungu.
Raundi
Kadi ya raundi ni kadi ya nne ya jamii na huwekwa kwa meza baada ya kubahatisha kwa flopi kumekamilika. Kubahatisha kwa raundi ni raundi ya tatu ya kubahatisha na mara mbili ya staki ya raundi mbili za kwanza.
Mto
Raundi ya mwisho ya kubahatisha na kadi ya mwisho, ya 5, ya jamii. Wakati kadi ya mto umewekwa kwa ubao, shughuli imeanza. Wakati kubahatisha kwa mto kumekamilika, mkono umeisha na chungu kinapeanywa.
Katika yafuatayo na picha utaona maonyesho ya wazi ya meza inavyokaa na tabia ya kucheza kwa kila raundi nne ya kubahatisha katika mchezo wa Hold'em wa upeo halisi.

Katika Texas Hold'em kuna manufaa ya kuwa nafasi ya mwisho kwa meza. Manufaa ni kwamba wachezaji wa nafasi ya mwisho wana chukuwa hatua baada ya wachezaji wengine wa nafasi za mapema na kwa hivyo wanaujumbe kuhusu maazimio ya wachezaji wengine. Kwa sababu ya manufaa haya kadi zinashughulikiwa na hatua inaanza kutoka kwa kifungo cha dila ambapo inazunguka meza kwa kuelekea upande wa mzunguko wa saa. Mzunguko huu unachukuwa vipofu, mapema, katikati na mwisho wa nafasi za wachezaji sawa sawa.
Kwa kila mkono wa Texas Hold'em; kadi zina changanywa, kifungo cha dila kinawekwa, vipofu vinabandikwa na kadi mbili zinashughulikiwa usochini kwa kila mchezaji mchangamfu kwa meza kuanzia na mchezaji wa kwanza upande wa mzunguko wa saa (kushoto) kutoka kwa kifungo cha dila. Hizi kadi mbili nishimo la kila mchezaji au kadi binafsi. baada ya kadi kushughulikiwa , hatua ya bahatisho ya kabla-flopi inaanza. Kwa raundi hii, na hii pekee, bahatisho inaanza na mchezaji wa kwanza kushoto (mwelekeo wa saa) kutoka kwa kipofu mkubwa. Kwa raundi zote zifuatazo hatua inaanza kwa mchezaji wa kwanza kushoto kwa kifungo cha dila.
Katika Hold'em ya upeo kipofu mkubwa ni sawa na bahatisho ndogo. Kipofo mdogo ni nusu ya kipofu mkubwa. Katika mchezo uliopigwa picha hapo juu staki ni 3€/6€. Kipofu mkubwa ni 6€, ambayo ni sawa na bahatisho ndogo na kipofu mdogo ni 3€, ambayo ni sawa na nusu ya kipofu mkubwa.
Kutoka kwa picha zetu za kabla-flopi unaweza kuona kuwa mchezaji Alessio alikuwa wa kwanza kuchukua hatua na amekunja kadi zake - mchezaji huyu hana kadi mbele yake.
Mchezaji afuataye amechagua kuita kipofu mkubwa na mchezaji wetu, Kelly, na esi-mfalme ya nguvu katika meza ameinua kipofu mkubwa. Hiki kionyesho cha picha kinaonyesha kuwa mchezaji Gilbert ndiye anaye fuata kuchukuwa hatua. Huyu mchezaji anaweza kuita kuinuka, kuinua tena muinuko au kukunja kadi zake.
Wakati raundi hii ya kubahatisha imekamilika dila ataweka hizo kadi tatu ambazo ni flopi, uso-juu, kwa ubao na hatua kwa flopi itaanza.
Makosa ya kawaida katika Hold'em ni kucheza mikono mingi zaidi kabla-flopi. Kuwa mchaguzi sana katika mikono uchezayo kabla ya flopi.
wachezaji wazuri hutupa/kunja bali mikono halafu wakacheza.
Makosa ya kawaida katika Hold'em ni kucheza mikono mingi zaidi kabla-flopi. Kuwa mchaguzi sana katika mikono uchezayo kabla ya flopi.
wachezaji wazuri hutupa/kunja bali mikono halafu wakacheza.

Katika Texas Hold'em, kadi tano za jamii huwekwa kwa ubao uso-juu. Kadi tatu za kwanza kati ya hizi zinaitwa flopi na zinawekwa kwa ubao mara tu kubahatisha kwa kabla-flopi kunakamilika.
Kadi za jamii ni kadi ambazo kila mchezaji katika meza anaweza kuunganisha na kadi zake za shimo kutengeza mkono wake bora zaidi unaowezekana wa poka wa kadi 5.
Katika mfano huu, Kelly ameflopi seti ya 7 na moja kwa moja ataendelea na mkono. Kama flopi haifanani na kadi zako za shimo kwa njia yoyote ile na hauna jozi ya juu katika shimo, kunja. Kwa flopi ukona 5 kati ya uwezekano wa kadi saba na bila mkono mgumu au kuchota kugumu si vizuri kuendelea kuweka pesa ndani ya chungu. Katika michezo ya upeo staki zina jiongeza mara mbili kwa raundi. Mchezo unaoonyeshwa ni wa 3€/6€ mchezo kwa hivyo bahatisho zote na kuinuka kote kwa raundi na mto kutakua kwa 6€.
Wakati hatua ya kubahatisha ya raundi imekamilika kadi ya mto, kadi ya mwisho, inawekwa kwa ubao na raundi ya mwisho ya kubahatisha inaanza.
Katika mchezo huu, unaweza kuona kwamba mchezaji aliye karibu na dila amechagua kuchukuwa mapumziko na kukaa nje. Katika wakati wowote mchezaji yeyote anaweza kukaa nje na kuchukua mapumziko kidogo. Wachezaji wanaruhusiwa kukaa nje ya meza kwa wakati inachukuwa kushughulikia mikono mitatu, kawaida kama dakika tatu. Kama mchezaji atakaa nje sana anatolewa kutoka kwa meza na thamani ya chipsi zake zinarudishwa kwa akaunti yake.
Katika michezo yote ya pesa reki/malipo yana kusanywa, kawaida ni 5% ya bahatisho, na upeo wa uro 5 kwa kila mchezo. Reki inaanza kutoka kwa flopi.
Kionyesho cha hatua kinaonyesha kwamba mchezaji Kelly anafuatia kuchukuwa hatua. Anaweza kukunja kadi zake, kuangalia hatua au kubahatisha 6€. Na 3 9 kuna uwezekano mkubwa wa kubahatisha 66€.
Raundi

Mto
Kidokezo cha raundi kwa wanaoanza:Kwa raundi, bahatisho zitakuwa zimeongezeka mara mbili na wachezaji lazima wawe na sababu kubwa ya kuendelea katika mkono. Kukiwa na kadi moja zaidi kuja, ufahamu wa pot-odds, implied-odds na nini kinachangia overlay kitakusaidia kujua kama au sivyo au vipi kuendelea katika mkono.
Mto

Kadi ya mwisho, kadi ya mto, saba ya bopo imeshughulikiwa na raundi ya mwisho ya kubahatisha ikokaribu kuanza.
Kuna wachezaji wawili waliobakia katika mchezo unaoonyeshwa hapo juu. Mchezaji David amechagua kuangalia na sasa hatua iko juu kwa Kelly. Kelly yuko na jozi ya juu ya malkia na kicker wa kuheshimiwa sana kwa hivyo kunaowezekano wa yeye kubahatisha.
Na vyungu vikubwa zaidi kwa mto, wachezaji kawaida wana pot odds ambazo zinaweza kuthibitisha thamani ya bahatisho au kuita au hata blafi halisi.
Kuwa mchaguzi sana kwa mkono unaocheza.
Jifunze kukisia na kutumia pot-odds, implied-odds na overlay.
Pros wa poka wanakubali kwamba tabia nzuri za poka zinatengeza fahamu nzuri za poka, zinaweka mchezo kuwa wa kufurahia na inaweza kuchangi kwa laini yako ya chini ya poka. wachezaji wataalamu wanajua kwamba kukasirika au kukosea wachezaji wengine kunaweza saa nyengine kusababisha kuwa mchezaji mpotevu wa kucheza kwa kuhifadhi zaidi, mchezaji mbaya kucheza bora na wakati mwelekeo wa mchezo umeathirika sana anaona mikono michache/fursa kwa kila saa.


